Flat Preloader Icon

King’Ori | Community Knowledge Center

CKC King’Ori ni shirika la jamii ambalo linajihusisha na kutoa huduma mbalimbali kwenye jamii katika wilaya ya Arumeru.

Vituo vyetu viwili vya jamii vimeanzishwa kwa watu wa Arumeru ili kupata teknolojia ya habari na mawasiliano

HUDUMA NA GHARAMA

Kozi

0rodha ya kozi tunazotoa

  • Kozi ya Kiingereza
  • Kozi ya Kompyuta
  • Kozi Maalum

Huduma

Orodha ya Huduma zitolewazo

  • Kuchapisha na kutoa Nakala
  • Kuskani na laminasheni
  • Mtandao na Barua pepe
  • Huduma ya picha za paspoti

Kukodisha

Orodha ya huduma za kukodisha

  • Nyumba za Mikutano
  • Mabweni
  • Maeneo ya Kupiga Picha za Harusi