Mahali

CKC 1

Kituo kikubwa cha mafunzo (CKC 1) kilichopo kijiji cha Kingori wilaya ya Meru Mkoani Arusha.

 

ckc1

Sehemu hii inafikika kwa gari ukiwa unatoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa dakika arobaini(40), ukiwa unatoka Arusha dakika sabini(70) na ukiwa unatoka Moshi dakika tisini (90) pamoja na foleni na mambo mengine yanayofanana na hayo.ukiwa unakuja kutoka barabara kubwa  unashuka kituo cha mabasi cha kingori Kibaoni unafata  barabara ya vumbi inayoelekea kijiji cha Leguruki, ni kilomita 15 kwa gari.

Usafiri wa Daladala na pikipiki unapatikana kwa shilingi 1,500 kwa basi na shilingi 3,000 kwa pikipiki.

 

GoogleMps1

 

 

 

 

CKC 3

Pia unaweza kufika CKC 3 kwa kupitia barabara ya vumbi ukiwa unaelekea kijiji cha Leguruki.

 

 

 

 

Sanduku la Posta:

Community Knowledge Center King’Ori
S.L.P 670
Usa-River