CKC 1
Kituo kikubwa cha mafunzo (CKC 1) kilichopo kijiji cha Kingori wilaya ya Meru Mkoani Arusha.
Sehemu hii inafikika kwa gari ukiwa unatoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa dakika arobaini(40), ukiwa unatoka Arusha dakika sabini(70) na ukiwa unatoka Moshi dakika tisini (90) pamoja na foleni na mambo mengine yanayofanana na hayo.ukiwa unakuja kutoka barabara kubwa unashuka kituo cha mabasi cha kingori Kibaoni unafata barabara ya vumbi inayoelekea kijiji cha Leguruki, ni kilomita 15 kwa gari.
Usafiri wa Daladala na pikipiki unapatikana kwa shilingi 1,500 kwa basi na shilingi 3,000 kwa pikipiki.
CKC 3
Pia unaweza kufika CKC 3 kwa kupitia barabara ya vumbi ukiwa unaelekea kijiji cha Leguruki.
Postal address
Community Knowledge Center King’Ori
S.L.P 670
Usa-River Arusha
Tanzania.
