King'Ori | Community Knowledge Center

CKC King’Ori ni shirika la jamii ambalo linajihusisha na kutoa huduma mbalimbali kwenye jamii katika wilaya ya Arumeru. Vituo vyetu viwili vya jamii vimeanzishwa kwa watu wa Arumeru ili kupata teknolojia ya habari na mawasiliano. Kwa ajili hii tunatoa huduma mbalimbali kwenye vituo vyetu viwili: mafunzo ya kompyuta,kozi ya kiingereza,huduma ya mtandao,kuandika na kutuma barua pepe,kuangalia runinga,kujisomea maktaba n.k